Aliyeshika kipaza sauti ni Mtoa Mada wa MDAHALO ndugu Adelatus Kilangi ambae pia ni Lecturer St. Augustine University ( MWANZA ) |
Kwenye picha ni aliyekuwa mgeni rasmi katika Mdahalo Afisa Tawala wa wilaya mpya ya Nyang'hwale Ndg. MANYONYI MANG'AMU |
(Kwenye Picha) ni wanafunzi wa shule ya sekondari Nyang'hwale wakiwa kwenye Mdahalo. |
Kwenye picha ni mwalimu wa shule ya Sekondary NYUGWA Mwl. Dionidas John akichangia mada katika mdahalo huo |
Bango kama linavyosomeka wakati wa mdahalo huko Kharumwa. |
Mwakilishi wa Mafundi Seremala Bw. Serafin Richard. |
Mtoa mada bw. Adelatus Kilangi akifafanua jambo kuhusiana na mchango wa maada iliyochangiwa na mmoja wa wananchi wa Kharumwa juu ya mkuu wa wilaya achaguliwe toka wilaya aliyozaliwa. |
Mmoja wa wanamdahalo akichangia maoni. |
Mc bw. Luxford Bundala akiwakaribisha wananchi wa Kharumwa katika mdahalo huo. (1) |
(2) |
(3) |
Kwenye picha ya pamoja ni Mgeni rasmi Bw. Manyonyi Mang'ambu na mtoa mada Bw. Adelatus Kilangi. |
katika picha ni Mraghabishi wa mdahalo Bw. Bernard Otieno |
Katika picha ya pamoja ni wajumbe waliofuatana na Mtoa mada toka St. Augustine University ( Mwanza ) |
Inapendeza sana kuitikia wananchi katika Midahalo ya GNP ikiwa lengo kuu la GNP ni kuhakikisha kila mwananchi anatoa maoni yake na kufanyiwa kazi ipaswavyo.
ReplyDelete