Friday, January 11, 2013

PICHA ZA MATUKIO YA KUVAMIWA KWA JENGO LA FINKA LEO Tar: 12.01.2013 SAA 7:38 USIKU. HABARI NILIZOZIPATA NI KWAMBA, MAJAMBAZI HAO WAMEVAMIA KWA LENGO LA KUCHUKUA HELA AMBAZO ZILIDHANIWA KUWAMO HUMO NDANI. MAJAMBAZI HAO WAMEKUJA NA KUMKUTA MLINZI AMBAE ALIKUWA KWENYE KIJUMBA CHA ULINZI, YULE MLINZI ALIPOONA WAMEKUJA WAGENI KUMTEMBELEA, ALIBONYEZA ALAM MAALUMU INAYOTOA TAARIFA MAKAO MAKUU YA KAMPUNI YAO NA KITUO CHA POLISI NA HAPO KTK JENGO LINALOLINDWA HIVYO WALE MAJAMBAZI BAADA YA KUSIKIA ALAM HIYO WAKAHAHA WAKATI WANAJIULIZA CHA KUFANYA YULE MLINZI AKATOKA KWENYE KIJUMBA CHAKE CHA ULINZI AKIWA NA NIA YA KUTOKUONEKANA NA WABAYA WALE, MBAYA MMOJA ALIMUONA NA KUAFANIKIWA KUMPIGA RISASI YA MGUU AMBAYO MUNGU SAIDIA ILIPIGA NYAMA NA SASA AMEMALIZA KUTOLEWA RISASI NA KUSHONWA KTK HOSPITAL YA WILAYA YA GEITA. MAJAMBAZI HAO HAWAJAFANIKIWA KUCHUKUA WALICHOKUSUDIA.

MLANGO UNAODAIWA KUBOMOLEWA NA MAJAMBAZI HAYO KWA BOMU AINA YA GURUNETI





WANANCHI WALIOKUJA KUSHUHUDIA TUKIO LILIVOTOKEA.



No comments:

Post a Comment