Thursday, January 24, 2013

Picha za Ufunguzi wa mashindano ya MAGALULA CUP tar: 23.01.2013 ktk uwanja wa GGM Geita

1st eleven ya timu ya wilaya ya Geita.

Waamuzi wa mpambano huo

Timu ya wilaya ya Chato


Aliyevaa T-shirt ya Tanzania ni Afisa michezo wa mji Geita bw. Wambura Marwa.

Mwenye miwani ni Mkuu wa Wilaya ya Geita MH: Omary Manguchie

Jukwaa kuu wakifuatilia mpambano kwa umakini kabisa.

Hapa ni mistari inayoelekea kwa mgeni rasmi kwa ajili ya ukaguzi












No comments:

Post a Comment