MAKIRIKIRI PLUS WAKITOA BURUDANI KATIKA TARAFA YA BUTUNDWE WILAYANI GEITA LEO KATIKA KUTEKELEZA MRADI WA "UTETEZI WA HAKI ZA ARDHI ILI KUJENGA UWEZO WA JAMII KIUCHUMI" MRADI HUU UMEDHAMINIWA NA SHIRIKA LA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY TOKA DARE SALAAM, NA UNATEKELEZWA NA SHIRIKA LA CODERT - GEITA. PICHA ZAIDI TUTAWEKA BAADAE. |
|
|
|
No comments:
Post a Comment