Monday, January 14, 2013

Mwizi aliyeponea chupuchupu kuuawa na wananchi wa Encounter ambapo walimkamata usiku wa saa 9 akiwa kaiba TV, Deki na baadhi ya vitu vingine ambavyo havikuweza kutambulika mara moja, mwizi huyo amepata kipigo kutoka kwa wananchi wenye maamuzi ya papo kwa papo usiku wa kuamkia leo hapa Geita mtaa wa Balenge Beach. Habari zinaendelea kusema kwamba, jamaa huyo na ambae jina lake halikupatikana mara moja alikuwa na mwenzake ambae yeye alifanikiwa kukimbia kusikojulikana na kumwachia mwenzie msala huo.

PICHA MBALI MBALI ZA MATUKIO YA MWIZI HUYO.







No comments:

Post a Comment