Wednesday, December 12, 2012

VIONGOZI WALIOCHAGULIWA KULIONGOZA GURUDUMU LA MPIRA WA MIGUU MKOA WA GEITA WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAO BW. SALUM KULUNGE.

VIONGOZI WALIOCHAGULIWA KUONGOZA MPIRA WA MIGUU MKOA MPYA WA GEITA WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA WA TATU MSTARI WA MBELE NDIYO MWENYEKITI ALIYECHAGULIWA BW.SALUM KULUNGE.

MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI WA MPIRA WA MIGUU TAIFA (TFF) MZEE LYATO WA NNE KWENYE MSTARI WA MBELE AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WAPYA WA SHIRIKISHO HILO LA MPIRA WA MIGUU MKOA GEITA PAMOJA NA VIONGOZI WA KAMATI YA UCHAGUZI MKOA GEITA.

No comments:

Post a Comment