![]() |
Rais Obama aenda kumuona Rais wa zamani na mpigania ubaguzi wa rangi Afrika kusini Rais Mandera. |
The Informed Rural Society
Saturday, June 29, 2013
Thursday, March 28, 2013
PICHA TOFAUTI TOFAUTI KATIKA MDAHALO WENYE MADA ZA ARDHI, MADINI NA KATIBA YA TANZANIA ULIOFKATIKA KATIKA WILAYA YA NYANG'HWALE ( KHARUMWA ) TAREHE 02/03/2013. PICHA NA MARK DE FRANCES
Aliyeshika kipaza sauti ni Mtoa Mada wa MDAHALO ndugu Adelatus Kilangi ambae pia ni Lecturer St. Augustine University ( MWANZA ) |
Kwenye picha ni aliyekuwa mgeni rasmi katika Mdahalo Afisa Tawala wa wilaya mpya ya Nyang'hwale Ndg. MANYONYI MANG'AMU |
(Kwenye Picha) ni wanafunzi wa shule ya sekondari Nyang'hwale wakiwa kwenye Mdahalo. |
Kwenye picha ni mwalimu wa shule ya Sekondary NYUGWA Mwl. Dionidas John akichangia mada katika mdahalo huo |
Bango kama linavyosomeka wakati wa mdahalo huko Kharumwa. |
Mwakilishi wa Mafundi Seremala Bw. Serafin Richard. |
Mtoa mada bw. Adelatus Kilangi akifafanua jambo kuhusiana na mchango wa maada iliyochangiwa na mmoja wa wananchi wa Kharumwa juu ya mkuu wa wilaya achaguliwe toka wilaya aliyozaliwa. |
Mmoja wa wanamdahalo akichangia maoni. |
Mc bw. Luxford Bundala akiwakaribisha wananchi wa Kharumwa katika mdahalo huo. (1) |
(2) |
(3) |
Kwenye picha ya pamoja ni Mgeni rasmi Bw. Manyonyi Mang'ambu na mtoa mada Bw. Adelatus Kilangi. |
katika picha ni Mraghabishi wa mdahalo Bw. Bernard Otieno |
Katika picha ya pamoja ni wajumbe waliofuatana na Mtoa mada toka St. Augustine University ( Mwanza ) |
Thursday, January 24, 2013
Picha za Ufunguzi wa mashindano ya MAGALULA CUP tar: 23.01.2013 ktk uwanja wa GGM Geita
1st eleven ya timu ya wilaya ya Geita. |
Waamuzi wa mpambano huo |
Timu ya wilaya ya Chato |
Aliyevaa T-shirt ya Tanzania ni Afisa michezo wa mji Geita bw. Wambura Marwa. |
Mwenye miwani ni Mkuu wa Wilaya ya Geita MH: Omary Manguchie |
Jukwaa kuu wakifuatilia mpambano kwa umakini kabisa. |
Hapa ni mistari inayoelekea kwa mgeni rasmi kwa ajili ya ukaguzi |
Monday, January 14, 2013
Mwizi aliyeponea chupuchupu kuuawa na wananchi wa Encounter ambapo walimkamata usiku wa saa 9 akiwa kaiba TV, Deki na baadhi ya vitu vingine ambavyo havikuweza kutambulika mara moja, mwizi huyo amepata kipigo kutoka kwa wananchi wenye maamuzi ya papo kwa papo usiku wa kuamkia leo hapa Geita mtaa wa Balenge Beach. Habari zinaendelea kusema kwamba, jamaa huyo na ambae jina lake halikupatikana mara moja alikuwa na mwenzake ambae yeye alifanikiwa kukimbia kusikojulikana na kumwachia mwenzie msala huo.
Subscribe to:
Posts (Atom)